Thank you🙏🙏 😊Toto Juliiiii imezaliwa leo...abana chesea!!
Ogela kwake!!
Usalama wa hela yako kwanza, leo wewe ni mtoto 😅Sijasema upewe wewe kaka 😅😅
Ila kupitia wewe inaweza kunifikia akhaa
Kuna lipa namba ipo 😊Birthday allowance tunatuma wapi?
Sawa nakubali kaka pokeaUsalama wa hela yako kwanza, leo wewe ni mtoto 😅
Doooh 😅kaka atahonga bora dada aishike😜💃💃
Kijana wa Kahama hana shida namtumia lipa namba whatsapp 😅Sawa nakubali kaka pokea
Nione pesa kaka ohoooo 😅Kijana wa Kahama hana shida namtumia lipa namba whatsapp 😅
ajuaye atajua hajui😄😄Doooh 😅
Naongea na ajuaye akupe kesi ya Uhaini kabisa 🤣🤣🤣
Namtumia lipa namba halafu utamuuliza kama ameipataNione pesa kaka ohoooo 😅
Sawaa😊Namtumia lipa namba halafu utamuuliza kama ameipata
T 1990 ELY nimeshakuwa kijumbe, timiza ahadi yako na namba ya kutuma nimekutumià whatsapp tayariSawaa😊
Hala hala kijumbe usipunguze hata sumni 😅😅T 1990 ELY nimeshakuwa kijumbe, timiza ahadi yako na namba ya kutuma nimekutumià whatsapp tayari
Nikajua utasema iongezeke 😅😅😅Hala hala kijumbe usipunguze hata sumni 😅😅
Nakubali bruh 😅 ntafightThere is tomorrow, usikae kinyonge. Believe in yourself 😊
Kuongeza lazima uongeze sikukumbushi kuhusu hilo 😅Nikajua utasema iongezeke 😅😅😅
Hayupo online ngoja nimpigie kabisa asilete masihara na pesa
Aaaah nina mwili wa kizungu aseeh 😆 😅Wewe ni kimbaumbau 😅😅