Hbd 40th is not easy God bless you.Happy birthday 🎉 to me..
Happy birthday to me mama mchungaji wa JF...
Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine...
NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai
Swali: Je, wewe Ujana wako umerejeshewa kama Tai...
Happy birthday 🎉 mshangazi kijana 😁Akuu, sijafika ukooo mi Badoo mshangazi kijana😂
AstaMama mchungaji unayependa mabolo.
Umepigwa upofu wa mabolo, hata ukishika biblia unayaona mabolo kwenye mistari.
Cc: Mbaga Jr