Happy birthday to me, mama Mchungaji wa JF

Happy birthday to me, mama Mchungaji wa JF

Happy birthday 🎉 to me..

Happy birthday to me mama mchungaji wa JF...

Asante Mungu kwa kuniongezea zawadi ya mwaka mwingine...

NB: Ujana wangu umeurejesha kama Tai

Swali: Je, wewe Ujana wako umerejeshewa kama Tai...?
Yaani unazeeka wewe unaona unakuwa kijana! Miaka ya kuishi leo imepungua kama hujui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom