Happy birthday to Jr

Happy birthday to Jr

ahaaaa.......mkuu mshana jr
nimeamini a friend in need is a friend indeed.

upload_2017-6-1_12-57-16.jpeg
 
Happy birthday mkuu.

Ila naomba dawa ya kutoa mikosi,maana kila dem nnayempata baada ya siku mbili lazima apate matatizo,mara mdogo wake kafukuzwa shule sababu ya ada,mara mama ake anaumwa anahitaji hela,mara simu yake imedumbukia kwenye maji anahitaji mpya n.k.
 
Chumaulete hiyo dawa yake masizi
 
Back
Top Bottom