Sio mapenzi kama mapenzi tunayoyajua ila ni upendo. Sie katoliki tunafundishwa kuwa amri kuu aliyotuachia Bwana Yesu ni Upendo. Kuna amri kumi za Mungu lakini zote Upendo una apply. Kwa mfano. kama una upendo huwezi kumuua mwenzako, kama unapendo huwezi kuwakosea adabu wazazi wako, huwezi kulitaja jina la Mungu bure, huwezi kumtani mke au mali ya mwenzako, huwezi kuzini na wala huwezi kusema uongo.
Wanapendana bila kujali tofauti zao,
kama una sadaka au zaka nitakupa namba zangu za simu utume, ukituma kwangu hakika itakuwa imepaa na kupokelewa kwa baba juu mbinguni😀😀😀😀Dah, shemeji naona umeamua unipeleke kanisani kabisa.
Naomba tu tusifikie muda wa sadaka.
kama una sadaka au zaka nitakupa namba zangu za simu utume, ukituma kwangu hakika itakuwa imepaa na kupokelewa kwa baba juu mbinguni😀😀😀😀