AshaDii naomba nichakachue siredi hii
Mekumiss sana aise
Yaani naona nyota nyota nisipokuona
Ruta yuaja na mashairi
Kukuimbia wewe mwandani
Nasema lilo moyoni
Kukukosa ni kosa lenye utashi
Not to worry PA all is well kabisaKama ipo kwa kongoshi sina wasi wasi, nitaipata... You do know she is my body guard eeh? lol
PA Sorry for missing your BIG Day. Hope it was a wonderful one.
The FinestHahahaha!! afrodenzi...huku kwangu anaweza akazamia kabisa na asirudi huko..
afrodenzi it's high time she enjoys sometime with me as well umekaa naye vya kutosha...hahahaha..u'll miss her but she'll be back atakuwa anajua na kukwambia good morning
The Finestafrodenzi it's high time she enjoys sometime with me as well umekaa naye vya kutosha...hahahaha..u'll miss her but she'll be back atakuwa anajua na kukwambia good morning
Lol. afrodenzi 3 days I am happy with that but I might extend 2 more daysThe Finest
hahahahahaha nahhh she is real annoying aee. but i LOVE her.. okay you can have Angel for 3 days only .. you happy with that arrangement ?
Asante mkuu MAMMAMIA..lolHappy Birthday Brother
Ninakuombea kwa Muumba Maisha Marefu
Yaliyojaa Uzima, Afya, Baraka na Furaha.
Happy Birthday yako imeleta baraka, hata wadogo zangu akina AshaDii na afrodenzi waliokuwa hawaonekani kwa kitambo wameibuka kutoka kusikojulikana. Ningetamani uwe unaadhimisha hii siku kila siku ili wasipotee sana. Anyway, nimepata wazo - ikitimia wiki mbili siwaoni nnakuanzishia uzi wa basidei. Asante sana Mr Rocky kwa kuanzisha huu uzi.
PS: I confess:
Nimechelewa kukutakia heri kwani jana niliamkia, nikashinda na kulala katika jukwaa lile la "Kuumisha kichwa", salama sikutoka na BAN - lol.
Haa ngoja nimlete voroba vya China asaidiane na Mr RockyNdicho anachopenda The Finest.
The FinestLol. afrodenzi 3 days I am happy with that but I might extend 2 more days