We Bishanga koma!The Finest,kila siku nakwambia uache ushingo feni,ona sasa umelikoroga tena,mama wa watu kajikunja liboquet la nguvu na mashairi ya ukweli kisha we macho mia mia,mwone pua kama la Rejao na domo kama la nitonye!
Thank you RussianRouletteHappy birthday The Finest, may you live happily and long enough to enjoy many, many more to come...
Asante kaka RejaoHappy Birthday Bro!!
Asante Blaki Womani dah halafu wewe mkwe hajambo au ameishaingia mitini..lolHappy birthday The Finest M/Mungu akujalie baraka tele na mafanikio mema kwa miaka ijayo wish all the best
Kongosho birthday zote zilizopita tuliwaandalia wahusika walau mbege...mbona kaka yangu TF hujaanda chochote??
Hebu watafute wataalamu wa maandalizi waje tupange utaratibu....usiwasahu wakata vitunguu na nyanya...
Happy Birthday The Finest. Me and my galfriends welcome you
to hang with us over the weekend. I gurantee you a Splendid Fun and Fullfillment.
Happy b day aisee..
mimi na my family ...which is big family by the way lol
tunakutakia maisha mareefu na furaha.....
Asante mkuu M'JrHeri ya siku yako ya kuzaliwa brother.....Live long!
Hahahaha.. Kongoshoalisema anataka sherehe yake ifanyike kwa mama muuza pale baresa-Manzese
wakaka mnafagia uwanja na kupanga viti, nimeshafunga turubai.
Asante sana KOKUTONA wakola mwana wa mae..Happy Birthday The Finest. May God give you more years to live.