The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Sawa afrodenzi..okay hun hope uliangalia the images I sent you..lolThe Finest
I have to think about that... lol
anyway I'm off now.. see you when I see you lolz.. thanks hun
Happy Birthday Brother
Ninakuombea kwa Muumba Maisha Marefu
Yaliyojaa Uzima, Afya, Baraka na Furaha.
Happy Birthday yako imeleta baraka, hata wadogo zangu akina AshaDii na afrodenzi waliokuwa hawaonekani kwa kitambo wameibuka kutoka kusikojulikana. Ningetamani uwe unaadhimisha hii siku kila siku ili wasipotee sana. Anyway, nimepata wazo - ikitimia wiki mbili siwaoni nnakuanzishia uzi wa basidei. Asante sana Mr Rocky kwa kuanzisha huu uzi.
PS: I confess:
Nimechelewa kukutakia heri kwani jana niliamkia, nikashinda na kulala katika jukwaa lile la "Kuumisha kichwa", salama sikutoka na BAN - lol.
Ubarikiwe sana Mkuu!Asante mkuu MAMMAMIA..lol
Asante sana. Im OK. Furaha ni yangu zaidi.MAMMAMIA salamu nyingi zikufikie mkuu , nafurahi kukuona jamvini tena..
Hope you are well...
Mr Rocky! Kila siku nazidi kuamini kuwa JF ni Jukwaa la Familia, ni nyumbani, ni darasa [Regia Mtema: R.I.P.], kwani licha ya kupotea kwetu, linapotokea lolote la kifamilia, tunakutana, tunapongezana, tunapeana pole. Mungu aibariki familia yetu hii.MAMMAMIA hata huyu alikuwa haonekani jamvini
huu uzi ndio umeenda mukuibua alikokuwa
Asante sana na karibu pia jamvini maana siku nyingi sijakuona
Miss u sana
Siku na miezi imepita
Leo ni siku pekee katika maisha yako
Siku ambayo mama yetu mpendwa alikuleta duniani
Ni furaha yetu sote kusherehekea pamoja na wewe na kukupongeza kwa siku hii njema katika maisha yako
Siku ya kukumbuka kuzaliwa kwako
Tunakuombea maisha marefu na yenye furaha Mungu akikutangulia katika yote
Happy Birthday The Finest.
AshaDii naomba nichakachue siredi hii
Mekumiss sana aise
Yaani naona nyota nyota nisipokuona
Ruta yuaja na mashairi
Kukuimbia wewe mwandani
Nasema lilo moyoni
Kukukosa ni kosa lenye utashi
Oh' R' I have missed you too dear, Pole hopefully hukuzimia tu Rocky mana bado we need you. Yaani Rutashubanyuma na MziziMkavu hawa kaka zangu wamenitag hizo threads, inatakiwa utulivu hadi kuweza pata nafasi ya kuzisoma tena. Hii tagging naona hakuna kupitwa hata kama haupo lol.
Ubarikiwe sana Mkuu!
Asante sana. Im OK. Furaha ni yangu zaidi.
Mr Rocky! Kila siku nazidi kuamini kuwa JF ni Jukwaa la Familia, ni nyumbani, ni darasa [Regia Mtema: R.I.P.], kwani licha ya kupotea kwetu, linapotokea lolote la kifamilia, tunakutana, tunapongezana, tunapeana pole. Mungu aibariki familia yetu hii.
Mr Rocky mbona hukunitaga mwenzangu nusura nipitwe yaani kama AshaDii asingelinitag huu uzi ungelinipita..........
Happy birth Day dear The Finest...............
Lol Mr Rocky kumbe una kipaji aisee.....Rutashumanyuma sikusema lilo moyoni mwako
Nimesema yalo jiri mtaani kwako
Kuweka tenzi za kwako
Si lazima useme wazi lilo moyoni mwako
Yafaa kuyasema yale unayoona kwako
Kuwa muda wake umefika
Rutashumanyuma utenziwe tumeupata
Lol Mr Rocky kumbe una kipaji aisee.....
Ushawaki kushiriki kipindi cha Malenga wetu RTD enzi zile?????
Hahahahaaaa naona umejaza vina na mizani:clap2: