happy birthday sweetlady!!!!!

Keki yangu iko wapi?
 
Last edited by a moderator:
SL najua una hengover,nakupa preskripshen:
Chukua limao,changanya na maziwa ya paka,saga jicho la kunguru korogea kwenye mkojo wa kuku vyote tia kwenye chungu kimoja chemsha kunywa.
 
Habari zenyu bhana Ndio naamka kichwa kinaumaa, birthday ya sweetlady ilipendeza haikupendeza? Kwenye kona niliyokaa na Roulette sikutaka usumbufu ingawa nilikuwa nasikia "lete vinywaji Arushaone". Aliyewaambia me waiter nani? Self service bhana.
 
Heheheheheee mi nilisikia unamwambia Madame B "Twende basi jamani mbona unaleta mapozi?"
Mara nkamsikia Madame B anasema "Sa siusubiri ruttashobolwa alewe kwanza ndio tumtoroke mbona una haraka?"
Heee mara nikavutwa na Kipipi anataka tule zetu kona eti baridi imemzidi na eti mi ndio nilimeleta so anataka tukapumzike basi nkaamua kumeleka mapumziko kuleeeeeee....hapa ndio tunashtuka hata kazini tumeshindwa kwenda!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…