Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Heeee sasa si tutanunua pipa zima jamani?
umesahau bila kuwasahau wazamiaji Arushaone Erickb52 Nicas Mtei Mwanyasi........
Last edited by a moderator:
Heeee sasa si tutanunua pipa zima jamani?
mfuko ukiwa tupu wajidai umeokoka haya funga hako ka laptop nikakutoe kiu
Kwaherini baba yake...............................
Hapa alizungusha cjui kama soli ya kiatu itabaki!
Ngoja nimungeze kwa Airtel money (wala hukatwi SL)
bahati nzuri kavalishwa kiatu kinapiga kengele na kuwasha taa
hahahha asavali mana lol! ningengoja mpaka kukuche wacha nijichetue kwa sana hapa mlangoni
Blaki Womani tumekuwa wazamiaji tena? hiyo kitu nimesema tutaifuata desemba
TBL ndio mdhamini mkuu wa prty ya jeo, vizibo vitafunguka leo acha tu. Sweetlady ukikuwa utafanya kazi TBL.
Punguzeni makelele mtoto ameanza kusinzia
alianza tempo hapo
Blaki Womani tumekuwa wazamiaji tena? hiyo kitu nimesema tutaifuata desemba
Akilala si ndio mwisho wa party? Embu mpe kengele aendelee kuitingisha asilale!
anavunga kutoroka vinywaji vinaisha
hilo neno lisikutishe ni msisitizo kwa pipa la jmosi