Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
@Blaki Woman kusanya zawadi zako unipe nimpelekee sweetlady
zawadi anapokea mwenyewe mlangoni
@Blaki Woman kusanya zawadi zako unipe nimpelekee sweetlady
Paw alimwambia King'asti anipitishie kadi pale kijiweni kwetu!
zawadi anapokea mwenyewe mlangoni
Una mu abuse mtoto mchanga ???...dhambi zako zishaandikwa we subiri kuchomwa moto
zawadi anapokea mwenyewe mlangoni
Paw alimwambia King'asti anipitishie kadi pale kijiweni kwetu!
Pesa na zile zawadi zenye uzito mkubwa napokea mimi.. Mtoto sweetlady hajajua hela bado
Pesa na zile zawadi zenye uzito mkubwa napokea mimi.. Mtoto sweetlady hajajua hela bado
wakati anazaliwa nesi aliangusha mkasi kakalia akasema pesa yake lol
Am watching you Nicas Mtei .....hii ni staili mpya ya wizi au?
Hakikisha unakuja nayo manake hutaruhusiwa kuingia kama huna kadi
Tuko huku ngurudoto hotel karibu sana ndetichia