happy birthday sweetlady!!!!!

happy birthday sweetlady!!!!!

Hehehehe Crashwise nashukuru sana mpendwa.......mnuso muulize Preta na wifi langu mwenyewe Blaki Womani.....kumbe Madame B mzee hivyo?....lol
Baba V nashukuru sana dear......kama kawaida kazi yenu na BAGAH itakuwa kukusanya chupa ukumbini

Happy birthday my wifi wa ukweeee....nimeshaanda uji wa mchele wa usiku maana mtoto wewe ushindwi kunga'ng'ania chupa ya kilimanjaro yenye maandishi ya njano lol....... marejesho kazi yako kumvalisha mtoto pampasi
 
Last edited by a moderator:

Hatimaye wifi langu umetokezea......sherehe oyeeeeeeeee......mtoto nimependeza sijapendeza?..........nimependezaaaaaaaaaaaaaa lol...... Wifi nashukuru sana mpendwa ila nna huzuni vile mpaka mida hii kakako hajafika ukumbini......... marejesho ataniacha mikojo inichubue ......nitafutie mtu mwingine.
 
marejesho akikamata ulabu atakusahau mwaya wifi Madam B anafaa japokuwa Arushaone na Filipo wanamwogopa sijui kawafanya nini.......kaka nitonye amekwenda kununua Amarula ukiwekewa kwenye chupa ya maziwa watu wasishtukie dili .........hivi ile supu ya utumbo anatengeneza Erickb52
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom