happy birthday sweetlady!!!!!

happy birthday sweetlady!!!!!

Mie mwenyewe nashangaa sijui umepitwaje.......utakuwa hunipendi kama zamani ndio mana :shock:


Nashukuru sana Masanilo ...... kuna chupa kadhaa zimebaki za kumalizia upite baadae basi!
nna bifu na Masanilo halafu we unamchekechekea....a friend of my enemy is my enemy ujue.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenyu bhana Ndio naamka kichwa kinaumaa, birthday ya sweetlady ilipendeza haikupendeza? Kwenye kona niliyokaa na Roulette sikutaka usumbufu ingawa nilikuwa nasikia "lete vinywaji Arushaone". Aliyewaambia me waiter nani? Self service bhana.

ilipendezaaaaa......hahahahaha nini kunywa hadi ulale kwenye meza kama sio Nicas Mtei ooooohh
 
Last edited by a moderator:
unauliza mchanga saudia? kaangalie sura ya mtoto wa sweetlady.

Namshangaa sana huyu pacha wangu

Unajua yule mtoto ana Pua ka Rejao,, Utosini anafanana na Nitonye,, Macho kama VinDiesel,,, Vimajungu kama vya Bishanga,, Kiujumla yule mtoto ni mchanyato wa watu mbali mbali... Ila Pacha 'angu nakuaminia, si unajua tena mjini Mipango?
 
Heheheheheee mi nilisikia unamwambia Madame B "Twende basi jamani mbona unaleta mapozi?"
Mara nkamsikia Madame B anasema "Sa siusubiri ruttashobolwa alewe kwanza ndio tumtoroke mbona una haraka?"
Heee mara nikavutwa na Kipipi anataka tule zetu kona eti baridi imemzidi na eti mi ndio nilimeleta so anataka tukapumzike basi nkaamua kumeleka mapumziko kuleeeeeee....hapa ndio tunashtuka hata kazini tumeshindwa kwenda!

Ulevi noma
 
Unajua yule mtoto ana Pua ka Rejao,, Utosini anafanana na Nitonye,, Macho kama VinDiesel,,, Vimajungu kama vya Bishanga,, Kiujumla yule mtoto ni mchanyato wa watu mbali mbali... Ila Pacha 'angu nakuaminia, si unajua tena mjini Mipango?


Pacha nimenuna......nasubiri kuombwa msamaha:A S embarassed::smash:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom