Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
Na hiyo mbege kwenye kigaloni ni ya nini hapo pembeni?
Nani anatupia mbege tena jamani? Hiyo tusubiri wakati wa sensa desemba! TBL na ndafu tu leo
Na hiyo mbege kwenye kigaloni ni ya nini hapo pembeni?
Hivi ni wimbo gani unaimbwa sasa ukumbini, maana naona TBL wananizidi kete
halaru wifi nini kuleta kiu ya hiyo kitu nimemiss sana jmosi twende kwa mawala kitu kama juice
Nani anatupia mbege tena jamani? Hiyo tusubiri wakati wa sensa desemba! TBL na ndafu tu leo
Nani anatupia mbege tena jamani? Hiyo tusubiri wakati wa sensa desemba! TBL na ndafu tu leo
Nimeileta makusudi tu....nilijua lazima mate yakushuke lol........twende mwaya
kuna sehemu hiyo kitu inatengenezwa ukipewa TBL inagoma
Aiya iya kuolewa ntarudi nyumbani kutembea......ndio wimbo unaoimbwa.
hahahahahah wifi omba advance kabisa
Kama umeleta zile hela zake alizokukopesha siku ile nipe mimi nimpelekee
Aaah wengine tumeokoka jamani....ndio nini kushushana mate sahizi?
Hahahaha hiyo hata hela ya mboga nikikata si inatosha? Tutachanga eeh
mfuko ukiwa tupu wajidai umeokoka haya funga hako ka laptop nikakutoe kiu
changanya na za zawadi ya leo
Kwaherini baba yake...............................Aiya iya kuolewa ntarudi nyumbani kutembea......ndio wimbo unaoimbwa.
Hapa alizungusha cjui kama soli ya kiatu itabaki!kondakta nipe tiketi niende yeriko nikamwone mtoto....... mambo ya twisti mtoto anabingirishwa usipime