sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
mtoto ushanyonya? Lol
Nimenyonya asubuhi sahizi nakunywa uji mpaka mama arudi jioni!
mtoto ushanyonya? Lol
halafu nimemuona x shem Vin Diesel jukwaa la matangazo. Kuna zawadi anakutaftia.
Hahahahahahaha lolest......hakunaga mchungaji kijana sio?
Yaani wewe....
Nimenyonya asubuhi sahizi nakunywa uji mpaka mama arudi jioni!
Yaani wewe....
hahahaha! Mi nilifikiri utasema hiyo zawadi huitaki.... Mwanamke umeshindikana wewe.
shem mambowww? Umepata hiyo ipad yenye wifi, shemeji +3g?
Hahahahaha lolest.......hapa unamdhalilisha mchungaji Filipo manake yeye bado kijana kabisa!
Ahsante sana Eliah G Kamwela ......mwambie Arushaone akupatie kinywaji ukipendacho
Hahahaha zawadi naitaka ila Vin Diesel ndie simtaki lol...
hahaha mbona simjui?? wachungaji wa siku hizi unaambiwa tuma sadaka ya maombi kwenye mpesa na 0713pesa si biashara hiyo.. na kama hali itaendelea kuwa ngumu hata mimi naanzisha la kwangu na wewe utakuwa mshika sadaka au? kwikwikwi tuma raman bana savana lounge, southen sun, braject au kwenye vijiwe vya noah bathdei inafanyika?
Hahahahaha lol.....we mchokozi sana