happy birthday sweetlady!!!!!

happy birthday sweetlady!!!!!

Happy birthday my dear wife, my love. Furaha ilioko moyoni mwangu ni kubwa hata kuilezea nashindwa zaidi ya kukuambia happy birthday. Mimi na mtoto wetu tunakutakia miaka mingi na heri duniani


Ahsante sana mume kipenzi......afu ujue almanusura untie aibu mbele ya wageni waalikwa.......

Nawapenda sana wewe na mwanetu! Mwaaaaaaaaaaaaaa
 
Thats my gal! Hii imenipitaje? My best wishes uendelee kubakia kijana na busara kama kawaida yako, penye udhia weka uchangamfu wako.....happy birthday mpendwa


Mie mwenyewe nashangaa sijui umepitwaje.......utakuwa hunipendi kama zamani ndio mana :shock:


Nashukuru sana Masanilo ...... kuna chupa kadhaa zimebaki za kumalizia upite baadae basi!
 
Last edited by a moderator:
Heheheheheee mi nilisikia unamwambia
Madame B "Twende basi jamani mbona unaleta mapozi?"
Mara nkamsikia Madame B anasema "Sa siusubiri ruttashobolwa alewe kwanza ndio tumtoroke mbona una haraka?"
Heee mara nikavutwa na Kipipi anataka tule zetu kona eti baridi imemzidi na eti mi ndio nilimeleta so anataka tukapumzike basi nkaamua kumeleka mapumziko kuleeeeeee....hapa ndio tunashtuka hata kazini tumeshindwa kwenda!

:shock::shock::shock:

:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom