happy birthday sweetlady!!!!!

Kwa kumbukumbu zangu ambazo naziamini sn tulishakula Happy Birthday ya SL mwezi wa Sita mwaka huuhuu!
Nina mashaka mzee mwenzangu Bishanga ameshikishwa hivi ili agharamie mashono ya gauni la mtindo mpya wa "CHITCHAT" . Ndiyo maisha mkuu wangu ...vumilia.
 
mbona humuulizi 'hauolayunao'? Leo SL kafikisha umri miaka semanin!i

Ina maana SL amevuka malengo ya Milenia, basi Mhishimiwa Rahisi inabidi amtumie salam za Pongezi..
Nikifikisha hata nusu tu ya huo Umri wake lazima niitishe Boooooooooooooonge la Pati...
Manake hii dunia inavyozunguluka hata nashindwa kuielewa!
 
Kwa kumbukumbu zangu ambazo naziamini sn tulishakula Happy Birthday ya SL mwezi wa Sita mwaka huuhuu!
Nina mashaka mzee mwenzangu Bishanga ameshikishwa hivi ili agharamie mashono ya gauni la mtindo mpya wa "CHITCHAT" . Ndiyo maisha mkuu wangu ...vumilia.

Hii mpya sasa,, Heu ngoja nikachukue vitendea kazi vyangu huenda nikapata Cover Story hapa...

Pacha sweetlady hebu njoo ukubali ama ukanushe hii habari.
 
Happy Birthday to you Sweetlady. I pray to God that He blesses you today and gives you strength to have positive thoughts and to give you success in your life...
 
kila jema sweetlady,unapotimiza miaka kadhaa tunaamini tunaongezewa hazina za wenye hekima na busara,uzuvi wa mambo na uzoefu usiotiliwa shaka ili mtulee vijana ktk miongozi thabiti.be blessed sweetlady and longlive mum!
 
Umebarikiwa kuzaliwa Octber,ni mwezi mzuri sana. Warembo waukweli na wanaume vichwa wamezaliwa October. (bisha nkung'oe kucha) lolest!!
Happy Birthday
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom