happy birthday sweetlady!!!!!

happy birthday sweetlady!!!!!

mbona humuulizi 'hauolayunao'? Leo SL kafikisha umri miaka semanin!i

Hahahaha anajua pacha wake ndio kwanza nimeanza mitihani ya kuhitimu kidato cha 4 jumatatu......hiyo miaka semanini ni yako tena ukome!
 
Mke mwenza, heri ya siku ya kuzalika. Mie na wewe tutamalizana pembeni, naogopa watu wasipate wivu.
But wajua nakuchunuku kiaje. Ngoja wifi AshaDii aje kumalizia instructions za sherehe.

Mke mwenza ahsante sana.......afu mwambie wifi mtoto anamlilia aje kumbembeleza
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Katavi.....uje jioni basi eeh.....afu usije na zile yebo yebo zako za siku ile Ndahani atakuzuia kuingia ukumbini.

Ukinionea mwalimu wangu platozoom mwambie aje pande hizi kuna mnuso ....akizubaa shauri lake...... The Boss na mkewe Kongosho pia wamealikwa kwa moyo mkunjufu!

Hapa nipo naandaa viwalo vya maana ili nisije kuzuiliwa hapo mlangoni.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom