>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<

>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<

Hommie unataka BAN ili ukwepe kuwatendea haki TBL baadaye jioni? Shemejio leo kaamua kabisa lazima mtu afleti
Sweetlady hebu msome hommie hapa afu niambie kama ntapewa kadi ya mwaliko nianze kufakamia mandimu huku.........
 
Sweetlady hebu msome hommie hapa afu niambie kama ntapewa kadi ya mwaliko nianze kufakamia mandimu huku.........
Lol...inamana bado hujaanza kunywa juice ya ndimu?..khaa utamwangusha hommie na shemejio AD... Wapo busy wanaandaa kwaajil ya wageni waalikwa wewe ukiwa mmoja wao....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom