>*<>*<> Happy Birthday Sweet Lady <>*<>*<

jamani party inaendelea ODM anawajibika ipasavyo, Muziki ndo umekolea ila mlangoni naona kama kuna magate crashers........

Hahahahaa......... Guys! Talking behind ODM's back? Hell NO..........This is LOVE............ And know what? ODM loves you too guys!
 
Jamani mbona mmemtenga Pdidy kwenye Birthday yake toka jana kapata watu 10 wa kumpongeza.
Huu ni ubaguzi wa kijinsia
 
:canada:

😛hoto:

jamani party inaendelea ODM anawajibika ipasavyo, Muziki ndo umekolea ila mlangoni naona kama kuna magate crashers........
:smash:

:eyebrows:

Waooo! Everything was OK mpendwa. Kwa upande wa msosi kweli umejitahidi sana wifi yangu. King'asti nae hakubaki nyuma upande wa mapambo. ODM namshukuru sana alihakikisha upande wa vinywaji unaenda vizuri. Inshort mlijipanga na Mungu awabariki sana!
😛oa

ndo uzuri wa jungu kuu,halikosi ukoko. hope umeridhika. naona mambo yameisha salama kaka kaizari,nami ndo natoka ukumbini. kuna glasi odm aliondoka nazo?naona kuna shoti...
:hatari:

oh! Jamani wifi yangu sooo appreciative dearest.... hata hivo anything for you... ila Wifi hio kazi yako ya u-bodyguard kwa ODM... Si bora tafuta nyingine... are you happy na ile kazi?? Shem wangu mwenyewe yule sometimes msumbufu...lol
:A S embarassed:

hahahaha!! Umenimalia!! hata hivo aliondoka na Mama Matesha... unafikiri angemuachia?? Thubutu....lol
:ballchain:

anything for u sweetpie. ila nanilii ana wivu sana banaa,muambie apunguze. ndo adha ya kuwa na mrembo,lol! usisahau kunipromote kwenye vikao vya harusi basi manake nna kakampuni uchwara ka mapambo na keki. did u love the dancing cake?
:focus:

Hahahahaha! King'asti umeamua kumchekesha mtoto asubuhi, asubuhi...ujue ODM alilewa mno, akiamka pombe zitakuwa zimeisha and hope atazirudisha glass za watu...lol
:shock:

wifi unacheza na odm eh? hakawii kuwa aliiweka kwenye tuxedo yake. jana (hivi 2 hrs ago ni jana?) mama matesha alikua na kazi ya kushikilia mkono,sijui kama high heels zake zilifika home salama.
:hatari:

Kweli mawifi ninao..... Khaaa!!! ........lol..
😛oa

afu alipania glasi za watu toka jana! odm ana makusudi sana,wala hatorudisha. na jeuri ya pesa, hakawii kuwalipa dozen! ngoja afufuke umuone! weeh,usicheke sana,kunguru atachukua fizi zako meno yataota kwenye ulimi!
:lol:

King mie niseme hayo masaa machache yalopita maana kweli two hours ago sio jana tena.... Tuombe Mungu jana ODM awe alikua na Mzuka wa Kutenda mambo ya kiutu uzima ili ziwe zilionekana wakati wa kutoa hizo nguo....lol
:washing:

Well at least I now know.... when I die I will keep on living for ODM is inside.....deep inside his friends' hearts!

ODM loves you all.
 
hahahaha THANK YOU GALS yaani nimecheka....hapa it looks more like gals talk mi nawatch tu hapa...

This tell kwamba party ya jana was a bam.....ngoja nimsubiri hommie wangu ODM asome katikati ya misatari apo...
Hommie, hamna haja ya kusoma katikati ya mistari hapo...ni straight forward!

BTW tathmini inaonesha King'asti anahitaji kupewa kadi ya uanachama. Si umeona uzushi anaonifanyia? Niwasiliane na katibu au utafanya kazi mwenyewe?
 
Jamani mbona mmemtenga Pdidy kwenye Birthday yake toka jana kapata watu 10 wa kumpongeza.
Huu ni ubaguzi wa kijinsia

Namsubiri Pdidy kwa hamu!! Nishaingia pale sababu kasema mpangilio mzima ni yeye ndo namsubiri ili nimnyang'anye majukumu mengine... tatizo Ritz wee hua unatoa salamu lakini hutaki ku party.... Hivo tafadhali tukutane pale kwake mara atapoingia....
 
me lv u too odm hata kama u wanna kill me. muambie mama matesha nasubiria ule mzigo,lol (afu vile vimiminika vya jana vilichakachuliwa?mbona mlikua hamlewi?au uzoefu?)
 
Hommie, hamna haja ya kusoma katikati ya mistari hapo...ni straight forward!

BTW tathmini inaonesha King'asti anahitaji kupewa kadi ya uanachama. Si umeona uzushi anaonifanyia? Niwasiliane na katibu au utafanya kazi mwenyewe?

hahaha hommie file lake huyo lipo tayari kwa RR....
 
me lv u too odm hata kama u wanna kill me. muambie mama matesha nasubiria ule mzigo,lol (afu vile vimiminika vya jana vilichakachuliwa?mbona mlikua hamlewi?au uzoefu?)
Leo ameamka akifanya mazoezi ya kung fu........... sijajua mpaka sasa lengo lake ni nini............. Vimiminika? well kwa nilivyoona jana, muda wa kunywa ulikuwa haujaanza vinywaji vikakatika...... that means jana tulikuwa tunasukutua tu.
 
Tutawatafutia pamoja hiyo zawadi kipenzi...from our family to theirs
 
kama ile ya jana ilikua kusukutua,basi naomba poo! inabidi kubadilisha definition ya 'ulevi', manake wapo wanyao vilevi na hawalewi. kama hujaelewa mazoezi ya kung fu moves yanaashiria nini,bora leo uage unaenda kwa bibi yao matesha afu urudi kesho na ka-stout. wafwaaa!
Leo ameamka akifanya mazoezi ya kung fu........... sijajua mpaka sasa lengo lake ni nini............. Vimiminika? well kwa nilivyoona jana, muda wa kunywa ulikuwa haujaanza vinywaji vikakatika...... that means jana tulikuwa tunasukutua tu.
 
yaaallah! uanachama wa nini tena? ashadii njoo kwanza unitetee manake nahisi hapa nachafuliwa cv!
Hommie, hamna haja ya kusoma katikati ya mistari hapo...ni straight forward!

BTW tathmini inaonesha King'asti anahitaji kupewa kadi ya uanachama. Si umeona uzushi anaonifanyia? Niwasiliane na katibu au utafanya kazi mwenyewe?
 
😛hoto: Kadi ya uanachama namba 32.
 
Hivi ndio kutingisha kiberiti AMA!!!??? (Sweetie nilisema mpaka nione Muongozo wa katiba ambao unadai umebadilishwa... sitaki empty words...)

yaaallah! uanachama wa nini tena? ashadii njoo kwanza unitetee manake nahisi hapa nachafuliwa cv!

Wifi King.... Mie hapa hata wee wanitia wasi... nivigezo gani wametumia kukuchagua??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…