Kama jimbo liko wazi tunaweza fanya mamboVipi mkuu eti unataka kumuwowa au
Hhahaha mtu chake kama namuona na majibu yakeHahahaahahha
Ndo unakwama hapo sasa my dear
Hahahahahahivi mtu akisema kucheza cha kwanza mtu utawaza nini jamani?? Wabongo mnawaza sana naniliu jamani daah hadi siyo poa!!
kucheza miziki dada tena hapa nilipo metoka kucheza yope remix
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eeenhKama jimbo liko wazi tunaweza fanya mambo
Aimen
Mnikujie na vuvuzela
Auntie kingozi toka mda yupo nayeNadhani hivyo, auntie anataka kingozi
Hahah...kwa nini kaka?Mkuu nimefurahi sana...



nimesomea psychology kwahiyo mimi ni psychic, I know I know.. 
Sasa mbona wewe ndio umewaza naniliu? Ni wapi binti yangu katamka naniliu?