ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,508
- 119,344
Naendelea kusoma, huwa sichokagi kusomaAwwwwmoyo wangu umeenda mbio spidi ya jeti



Naendelea kusoma, huwa sichokagi kusomaAwwwwmoyo wangu umeenda mbio spidi ya jeti



Naisubiri.Natupia top ten yangu soon!!
Awwwwmoyo wangu umeenda mbio spidi ya jeti



Huyo hatuachani, hata kifo hakitutenganishi.Jamani hivi ndio kaachwa anko wetu au
AimenTuelewe tu dada we utaona ikifika hiyo 2022,, Mungu atuweke hai tu Inshaallah..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkwe leo mishipa yote ya shingo umeiweka kwenye hii mada...utapaliwa na mate oohooooSuprise my foot, hapa naona suprise iloandaliwa ni wolidi kapu tu. Tumewastukia.
Sasa mbona wewe ndio umewaza naniliu? Ni wapi binti yangu katamka naniliu?hivi mtu akisema kucheza cha kwanza mtu utawaza nini jamani?? Wabongo mnawaza sana naniliu jamani daah hadi siyo poa!!
kucheza miziki dada tena hapa nilipo metoka kucheza yope remix
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ukajishtukia kumbe shemejiHahaha...
Almanusura nibinuke na kiti hapa...
Mkuu nimefurahi sana...
all the hugs n kisses to you