Shunie wewe leo mwari, acha maneno machafu.Hahhaha halafu kapo sehemu mbaya
HahahahahaHuku si huwa tunajifanya tunapanga budget yetu tu,, ila kiukweli tuko kama wanne hivi wawili tulitaka tuwafanyie surprise ila mmoja ndiyo wewe umejua leo mwingine hajajua..
Ila huu uongo hata mimi sijui nimeuanza lini yaani shetani ananitafuta kwa lazima wallah
Sent using Jamii Forums mobile app
minataka mahela ya vikoba
Yaani mecheka mimiii aki!!
Wewe wa kukosa mahela kweeliii?!



kucheza mpira niliandika
Hahahahaha
Kwani wewe umewaza kucheka nini... nikajua kucheza mpira
Shunie wewe leo mwari, acha maneno machafu.
Happy Birthday to you.
May almighty God grant you long and prosperous life. Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app


Tatizo wananishawishi na maneno yao

be blessedHahahahaha
Daaahhh....mnaenda lini eti jamani
Kweli bwana acha kunicheka
Hahaha Mimi sio ni raia mkakamavu kama weweAaah jamani unajikana au me ndio sielewi