Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,353
- 108,473
Hahah...dk 0 uwe na lokesheni wapi keki tunakula piaWoyooooo pm ukuje jamani sakayo kama namuona
Hahah...dk 0 uwe na lokesheni wapi keki tunakula piaWoyooooo pm ukuje jamani sakayo kama namuona
Twende huko huko umasaini.Sijakiona auntie sijui nakwama wapi wamasai hawanitongozi hata
Auntie nimechoka mie acha nitafute mume kilazima sasa waniwowe tu umri unazama huu



sssshhhh
Suprise my foot, hapa naona suprise iloandaliwa ni wolidi kapu tu. Tumewastukia.
Cc@Mtu chake



Fwala wewe mtu chake anahusikaje hapo kwenye kutaka gariNatupia top ten yangu soon!!Nilisema hata kwenye top ten haipo,, woii karudie kusoma ile comment yangu jamani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda umeweka masharti magumuNdiwoooooo nataka kuwolewa umri ndio huo unazama

Woyooooo watu na mababe zaoHahah...
Niseme nini zaidi ya nakupenda![]()
Jamani hivi ndio kaachwa anko wetu auMoo 11
Wolewa tu auntie, ila sio na furushi.Auntie nimechoka mie acha nitafute mume kilazima sasa waniwowe tu umri unazama huu







hivi mtu akisema kucheza cha kwanza mtu utawaza nini jamani?? Wabongo mnawaza sana naniliu jamani daah hadi siyo poa!!


kucheza miziki dada tena hapa nilipo metoka kucheza yope remix
8. Kucheza nini eti jamani
Tabia zipi hizo za ubahili au kukwichi kwichiWanasema mpare na msambaa ni ndugu. Hata tabia zetu zinafanana tu!