Mimi ndo memwambia auntie...
Huwa nawazooom tuu mnavyopiga budget yenu
Hapo umemchanganya atakachokuuliza nasubiri kucheka mie
Unajua cha kufanya, lasivyo hadi nipaliwe.Hahah mkwe leo mishipa yote ya shingo umeiweka kwenye hii mada...utapaliwa na mate oohoooo
Cake moshiHahah...dk 0 uwe na lokesheni wapi keki tunakula pia
Nakuona
Abeeee
Kwa umri ulivyoenda aje yeyote kikubwa niwolewe tu
WoyoooooooHuyo hatuachani, hata kifo hakitutenganishi.



basi yeshe jameni tuashumu napenda
Hahahahaha
Nawaza tuu venye hupendi jamani, yaani nawaza mimii kho kho kho kho
Mbona mie sikwichi kwichi sana halafu sio mbahili hataKotekote shunie![]()
Natupia top ten yangu soon!!