Sawa mdogo wangu mzuri mzuri jamaniHabari za wolidi kapu,, ila umeshanifafanulia basi nimeshaelewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie huniibii maana nakujua wizi wako wooote.@Jael wangu!!
Aah kama yule hana madhara! Nitaendelea kuvumilia hata ukimtaja.Khaaah!! Umeanza kunisingizia
Ni wewe tu na yule nilommiss.
Sasa jamani nyie wanaume nioneeni huruma na miaka hii 40 hata mume sina atokee basi wa kunionea huruma aniwowe na mimi nichezewe kwaito![]()

Na wote tuseme amina. Mimi napenda hadi najizua, manake nisipoangalia nafwaa!!
Aah kama yule hana madhara! Nitaendelea kuvumilia hata ukimtaja.




