Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978

Kweliiii

KweliiiiHahhaha jidanganye mama eeenh nikutokee na manguo yangu meupe

ntakavokukimbizaaaa hurudi tenaaaa!!!
Hahhaha we nizidishie masifuri tu
Mimi apa jamaani linii unakuja mjinii kabla shule hazijafunguliwa uje tukale mishkaki
Where z sheEver since I met,I've become the part my of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or any means!!!!
Nafurahi kukufahamu japo kwa uchache tu toka tumejuana kuanzia Jf mpk nje jf...
Nashukuru kwa kila kitu ,kuniamini,kukuamini,kunipenda,kunijali kunithamini na kunifariji kwa miezi hii mita kwa yote niliyokua napitia hujui kiasi gani u mean to me...
Shunie wa jf sie yule nimjuae Mimi,nnaemjua Mimi ni yule anafunga na kusali most of her time...Shunie wangu ni yule anapiga simu na kuniambia Geni nakuombea yataisha...pole mpenzi...
Word can't express how big heart Almighty gifted uu!!!!how Almighty blesses u daily and always...
Watu wanaweza kukutazama upande ule utakaowafariji wao ili kuridhisha nafsi zao za husda na kukupaka kinyesi lakini Mubgut ndo ana jua dhamira yako...
Shunie,nakupenda sanaa mpenzi,shunie nashukuru nisamehe kwa nililokukwaza...
Naomba nikutakie heri nyingi,fanaka nyingi,maisha mema happily ever after with ur family...
Nakuombea kizazi chema luv....Mungu akupe yote uyaombayo kwa wakati wake ambao ni Sahihi!!!!
Umejaa mihela ya bdayMimi apa jamaani linii unakuja mjinii kabla shule hazijafunguliwa uje tukale mishkaki

hivi waweza amini kila siku nakuja mjini hapa nipo kariakoo mida hii acha kabisaa

yaani tabu nnayo!!
Mm hela za mishkaki na kulewa ninazo kila siku usiwazeee au baada ya new year nikutafute sasa usiku itakuwaje au utalala mjiniUmejaa mihela ya bdayhivi waweza amini kila siku nakuja mjini hapa nipo kariakoo mida hii acha kabisaa
yaani tabu nnayo!!
Wewe tu ila sio leo, kesho au kesho kutwa !!!panga tu dadaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Awwwwwww!!!!Ever since I met,I've become the part my of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or any means!!!!
Nafurahi kukufahamu japo kwa uchache tu toka tumejuana kuanzia Jf mpk nje jf...
Nashukuru kwa kila kitu ,kuniamini,kukuamini,kunipenda,kunijali kunithamini na kunifariji kwa miezi hii mita kwa yote niliyokua napitia hujui kiasi gani u mean to me...
Shunie wa jf sie yule nimjuae Mimi,nnaemjua Mimi ni yule anafunga na kusali most of her time...Shunie wangu ni yule anapiga simu na kuniambia Geni nakuombea yataisha...pole mpenzi...
Word can't express how big heart Almighty gifted uu!!!!how Almighty blesses u daily and always...
Watu wanaweza kukutazama upande ule utakaowafariji wao ili kuridhisha nafsi zao za husda na kukupaka kinyesi lakini Mubgut ndo ana jua dhamira yako...
Shunie,nakupenda sanaa mpenzi,shunie nashukuru nisamehe kwa nililokukwaza...
Naomba nikutakie heri nyingi,fanaka nyingi,maisha mema happily ever after with ur family...
Nakuombea kizazi chema luv....Mungu akupe yote uyaombayo kwa wakati wake ambao ni Sahihi!!!!
Hahhahaha mama mchungaji nimecheka sanaAisee kumbe Shunie ukiwa emotional unatema ngeli hivi teh.
Kama mama Mchungaji nimefurahi kusikia kuwa muumini wangu unadumu katika maombi na kufunga. Your cup shall always runneth over IJN. Happy belated birthday mama Heineken, keep that loyalty....

akili za heineken nikilewa sio shunie mmTeh kama naliona hilo kanisa letu.Hahhahaha mama mchungaji nimecheka sanaakili za heineken nikilewa sio shunie mm

Wamejua kuniliza hawa wadada mama mchungaji nasoma huku machozi yananitoka tuu kumbe kuna watu wananiona mm ni mtu muhimu sanaTeh kama naliona hilo kanisa letu.
Nimeshangaa huu uzi kinge kama chote lol. But I know that feeling, raha sana when you are a good friend na rafiki zako wakaaprreciate hilo.
Eiiiish utakuja dar
Sasa mjiandae next year
Hata mtu aweje, wapo tu watakaoona uthamani wake. Afu wote tuna mapungufu yetu, ila wapo ambao wameamua kuangalia beyond mapungufu yetu, wanaconcentrate na mema yetu tu. Na unaweza ukawa unawafanyia vitu watu, wewe ukaona ni kawaida au ni vitu vidogo tu huvitilii maanani, lakini kwa yule unayemfanyia vikawa vina maana kubwa sana kwake. So keep on giving this world some positive energyWamejua kuniliza hawa wadada mama mchungaji nasoma huku machozi yananitoka tuu kumbe kuna watu wananiona mm ni mtu muhimu sana
Hahhaha kanisa letu litakuwa la kipekee sana

una nyodo eehhh!!!we nitafute baada ya new year will be good!!!
Ntafika kijijini kwangu gari zipo mpk saa nane usikuuu!!!usijali mi si mtoto wa mjini!!usiku siuogopii!!Mm hela za mishkaki na kulewa ninazo kila siku usiwazeee au baada ya new year nikutafute sasa usiku itakuwaje au utalala mjini
Hahaaaahaaa...binamu si unajua Heineken lazima kizunguu!!Aisee kumbe Shunie ukiwa emotional unatema ngeli hivi teh.