Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,002
Hahaaaahaaa!!ulijishaua eeehh!!!Hahhaha sakayo alinisumbua nimeamka nakuta text zake namjibu asubuhi ananiambia kwahiyo ndio umetususia mathread eenh sisi tumekesha we unalala tu ebu amka twende jf uko
Hahhaha sio kujishaua sijui kama jf watu wamekesha na kufungua thread
Hahhaha sio kujishaua sijui kama jf watu wamekesha na kufungua thread






kwa hyo ulikua hujui km jf wana bday wishes...!!!halafu wewe una visaaa
Hahhaha kweli jamani nilikua sijui hata yaan bila sakayo mausumbufu yake nisingejua chochotekwa hyo ulikua hujui km jf wana bday wishes...!!!halafu wewe una visaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana dada akee



nakupendaHahhaha kweli jamani nilikua sijui hata yaan bila sakayo mausumbufu yake nisingejua chochote
Weeeeh danganya nikutokee ukilala


ushakua mzimu tena..hautishii!!!
Halafu huwezi amini hata mpango wa kuingia jf sasa nilikua sina
Sikutishi we haya njo na kuzidisha kwako masifuri
Asante sana supermarket



Thanks babe



Nazidisha na hutokei kokote aliyekufa kafaaa...Sikutishi we haya njo na kuzidisha kwako masifuri

Mavi yakoooo!!!wewee....Halafu huwezi amini hata mpango wa kuingia jf sasa nilikua sina









Hahhaha jidanganye mama eeenh nikutokee na manguo yangu meupe