Happy Birthday ROULETTE

Happy Birthday ROULETTE

Last edited by a moderator:
Swahiba na rafiki wangu wa ukweli Roulette,
Labaik!
Najua nimechelewa kukutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa.
Najua unajua kuwa halikuwa kusudio langu
Bila samahani rafiki yangu wa ukwee, I receive birthday gifts and wished untill august 32nd 25:00 am.
Najua wajua kuwa nakupenda na kukuheshimu sana
Najua unafahamu kuwa we ni mtu muhimu sana ktk maisha yangu
ya kwanza nilikua najua, ya pili ndio nimejua leo. Naomba mama Matesha alitambue hilo pia
Najua unajijua we ni mkarimu, mpole na mwenye moyo wa utu
Najua unajua kuwa maombi yangu kwa Mungu huwa yanasikilizwa

haya najua na naomba iendelee kua hivo for as long as I got needs ili niendelee kusalia rozari yako

Ndio maana namwomba Mwenyezi Mungu mwenye rehema
Akujalie afya njema,
Ameen!
Akuepushe na mikosi, balaa na bahati mbaya
ameen
Akupe bahati nzuri daima
Ameen
Akuepushe na hatari zote
ameen
Akuongezee siku za kuishi kwako huku akikuepusha na dhambi
Ameen
Akupe umri uwaone wajukuu wa wajukuu zako ili siku atakapokuita kwake mbinguni wajukuu zako wasilie bali wamshukuru Mungu kwa kuwapa bibi mwema.
Ameen

Hongera na heri ya siku yako ya kuzaliwa mpendwa Roulette

Ni mimi ODM wako nimekuombea
Itikia AMINA
Amina amina amina hadi mbingu la saba dua hii isikike na ipokelewe kwa mikono miwili na malaika muhusika, aifikishe ofisi kuu leo leo itiwe signature na mtendaji mkuu aanze kuifanyia kazi usiku huu huu (hasa hapo pa wajukuu, nianze kuwatafutia wazazi wao mapema inshallah)
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Roulette....sikuwa nimepita huku kitambo hope sijachelewa sana...
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya mwenzangu YNNAH namie mwenyewe , twakutakia kila la kheri .
 
Last edited by a moderator:
snochet, asante sana kwa salamu za Birthday... On behalf ya alter (hata kama kapita mwenyewe hapa) nafurahi kwa salamu zilizojaa upendo toka kwako na members wote waliotuma.

Naomba nikiri kuwa Birthday gal regardless kuwa ni Ramadhani she had a blast na I guarantee it is one of the Birthdays she wont forget na nafurahi sana kuwa ilikua nzuri kwa kiwango alichoridhika nacho na zaidi ya alivyotegemea... :tongue:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
snochet, asante sana kwa salamu za Birthday... On behalf ya alter (hata kama kapita mwenyewe hapa) nafurahi kwa salamu zilizojaa upendo toka kwako na members wote waliotuma.
Kabisa alter. I am so touched. Sikudhani kabisa kua mtakumbuka aisee. Last year snochet missed it and I teased him for a month! Lol

Naomba nikiri kuwa Birthday gal regardless kuwa ni Ramadhani she had a blast na I guarantee it is one of the Birthdays she wont forget na nafurahi sana kuwa ilikua nzuri kwa kiwango alichoridhika nacho na zaidi ya alivyotegemea... :tongue:
Hahahaha, yes I did have a blast (and continuing) na sinto sahau hii bd kamwe. Just this morning nilikua namhaditia King'asti celebrations zinavo endelea (kasema nisikupe detail yoyote leo) Mwanao kanitumia a drawing nimeitundika fb. Naomba ukatupie comment huko.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, yes I did have a blast (and continuing) na sinto sahau hii bd kamwe. Just this morning nilikua namhaditia King'asti celebrations zinavo endelea (kasema nisikupe detail yoyote leo) Mwanao kanitumia a drawing nimeitundika fb. Naomba ukatupie comment huko.
King'asti ana case na mimi... Labda wewe utatusaidia hahaha! Anaenda shoppings za nguo everyday hadi ananifanya niwe jelas - so miwivu yake ni explanaible..

Bado nacheka ujue (about mazingira yalokuzunguka sasa lol)

Nishaenda FB, Its beautiful and touching no wonder you feel proud.
 
Last edited by a moderator:
Hata sijui kwa nini sikupita humt mda mrefu. Happy Birthday Roulette . Najua nimechelewa bt ina swii
 
Last edited by a moderator:
Sijui kwanini nakuonea wivu hata kwa kaka zangu......

Wow....Go chairman....goooo!

Kuna haja ya kuiweka kwenye file hii makitu?


Muhimu sana for futur use.....hapana chezeya
 
Happy Birthday monitress.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na azidi kukulinda our Roulette.
#Bless

BTW, menunaaaaa mie . . .
mbona hamkuniita? :disapointed:
 
Last edited by a moderator:
Huyo YNNAH ulivyompata kwa kulazimisha . . .
Bahati yako ya mtende kobe la usiku we!!

Ramadan Mubarak

Afu wewe!
Ngoja mfungo uishe!
Nway asente kwa kunipa shavu la meji-toba!
Karibu daku la drafti .
Mie cha mbegu bwanaa! Hata ningekulenga wewe, ningepiga bull tu! Usingepenya!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom