BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Hebu acha kunchonganisha mie
Ujue kuwa mwenye kiti ni sifa hivyo?
Hadi tanzania nzima wanakujua?
BADILI TABIA cake c itafaa hii au tubadilishe!!?? View attachment 60471
Orait come zis way....lol
Hello sweet RR! Mimi na my wife Erotica tunakupongeza sana kwenye hii siku yako muhimu ya kuzaliwa kwako. Erotica anapumua kwa furaha na kuniambia eti kwa kuwa upo kwenye sherehe hutapata muda wa ku-moderate jukwaa la siasa na kwa ajili hiyo atateremka huko kugawa vidonge vizito kwa watu waliomkwaza. And sorry RR, j'ai oublie' mon francaise que tu m'ensegne' Did I get it right?
papito umesahau kumbebea zawadi nilimwandalia. uje kuichukua caramel sawa?
alafu wewe mimi thitaki uchokozi ujue hayaaa na nitakuchemeaAfu wife, unajua hii birthday imeangukia kipindi cha mfungo. Tafazali wale marafiki zako wapenda kula, charminglady, CUTE, princess enny na ummu kulthum usiwakaribishe, watatuharibia sherehe yetu.
Na wale vyapombe Catherine na AmKATRINA pia usiwakaribishe. Watatutia aibu.
mchungaji mbona dhambi nje nje? mbona mm huniambii ivo kama cute? :A S cry:
wow welcome back Erotica, mwaaaah. Kumbuka, It is not SEX that gives Pleasure, it is the LOVER!
haya nambie how r you doing, siku hizi uko mapumzikoni hujafanya dhambi uje kuungama? lol