Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Happy birthday Roulette! Mwaaaah

shaka ondoeni....
leo ni tileeeeeeeee mpaka tinyeeeeeeeeeeeeeeeeee

kuna msosi wa ukweli....
mtakula na take away mtapata...

wakulu apo juu nimewasoma saaana Erickb52 na platozoom,

kifupi mshereheshaji mkuu Asprin na sweetlady mwenza wake wameshadefine some of the issues,

Upande wa totoz Asprin atahakikisha wapo wa ukweli,,,, ila vinywaji kamati imevunjwa kwa muda huu yupo Fixed Point....kwa wale walioshindikana kama wewe platozoom na Erickb52 itabidi muanzie kwa 'mama muuza"

maakuli naona yatakuwa poa chini ya BADILI TABIA na princess enny,

baadaye tutaingia maisha club kujiachia, hilo wala halina shaka.
 
yaani pamoja na kuwa jana watu walikunywa mpaka wakazimika bado wamelalamika, basi acha nijikite kwenye kamati yangu ya msosi........

Yaani!

baby BADILI TABIA hujambo lakini? Maana ndo ivo bosi kavunjilia mbali maana umetuhumiwa sana kwa kunywa vnjwaji vyote peke yao kwen mnuso wa Erickb52 jana
 
Unamuonea Catherine Magige bure, hana muda na mumeo
Yuko busy anapangua tuhuma za kuuzia chit chat mafuta ya mawese.
Asprin hajiwezi, leo hata ukae mguu pande bila kitu haoni, maana ndo mwenyekiti wa mawese huyo.

Catherine, mume wangu Asprin hamtupigi ngumi, anatupiga na range, tripu za dubai na vidani vya dhahabu...
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Madam Roulette. May you live as long as you wish and love as long as you live.
 
Last edited by a moderator:
whaaaaaaaaaaaaaaat?
walaaahhhhhhhhhhhhhhhhiiiiiiiiiiii
Asprin hubby njoo uone haya mazarau ya huyu mwanamke...... tena uje kutoa tamko...

wakewenzangu cacico na Yummy njoeni mumuone huyu msimamizi,.....sijui anadhani sikio linaweza kuzidi kichwa...

na kuanzia leo tunamvua rasmi usimamiz, Asprin tunasubiria tamko loh...

Unamuonea Catherine Magige bure, hana muda na mumeo
Yuko busy anapangua tuhuma za kuuzia chit chat mafuta ya mawese.
Asprin hajiwezi, leo hata ukae mguu pande bila kitu haoni, maana ndo mwenyekiti wa mawese huyo.
 
Last edited by a moderator:
Halafu sasa Erickb52 hivi CUTE nani kamficha? Anajua sana tu mbona? hebu tumtafute kabla ya mangarib manake hawezi kukosa

Kuna matoz kina mtotowamjini, BAGAH, Mtambuzi na RR bado hawajafika

Halafu naona Rejao jana alikuwepo na shati lake la ccm, leo tumwalike tena au?

Kumbe hata jana mlijadiliana kwanza kabla ya kunialika??? basi leo sijiiii....
Zawadi yangu ya besdei kwa Roulette nitaituma kwa DHL!!

Happy Birthday Roulette!!!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hata jana mlijadiliana kwanza kabla ya kunialika??? basi leo sijiiii....
Zawadi yangu ya besdei kwa Roulette nitaituma kwa DHL!!

Happy Birthday Roulette!!!

hahaha tatizo Rejao huku kwen party hakuna uccm wala utlp sasa ndo hapo panakuwa na ukakasi

vaa ile suti yako ya mao tse tung ile....kaunda...apo sawa tutakupa mnadala wa Cantalisia kwa muda. unamchagua nani?
 
Last edited by a moderator:
wakulu apo juu nimewasoma saaana Erickb52 na platozoom,

kifupi mshereheshaji mkuu Asprin na sweetlady mwenza wake wameshadefine some of the issues,

Upande wa totoz Asprin atahakikisha wapo wa ukweli,,,, ila vinywaji kamati imevunjwa kwa muda huu yupo Fixed Point....kwa wale walioshindikana kama wewe platozoom na Erickb52 itabidi muanzie kwa 'mama muuza"

maakuli naona yatakuwa poa chini ya BADILI TABIA na princess enny,

baadaye tutaingia maisha club kujiachia, hilo wala halina shaka.
alalaalalalah!!! yan wewe Kaizer hapo umepatia kupita maelezo!! teh teh teh Asprin umeona sasa nimekabiziwa msosi!!!
 
Last edited by a moderator:
m-happy-birthday--m--sexy--birthday--cake_large.jpg

come this way mamito, uje na swaga za avata ya kale.................. mwaaaaaaah! :A S-heart-2:
 
hahaha tatizo Rejao huku kwen party hakuna uccm wala utlp sasa ndo hapo panakuwa na ukakasi

vaa ile suti yako ya mao tse tung ile....kaunda...apo sawa tutakupa mnadala wa Cantalisia kwa muda. unamchagua nani?
hahahah...kwani hamna kutoa salamu za pongezi? nikipewa microphone lazima nianze na salamu yetu kwanza...
Inabidi uniandalie mabaunsa wa kunilinda!! Cantalisia hana replacement, tuliwekeana ahadi nzito sana!!
 
Last edited by a moderator:
hommie Asprin, mwongozo wangu ni kwamba wewe na wake zako Yummy, cacico, BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho, tafadhal muwe na subra wakati wa hii sherehe , msije mkamtisha mtoto Roulette na mambo yenu ya kikubwa.....hasa BADILI TABIA.

Na hivi kamati ya vinywaji imevunjwa sijui tukuweke kwen picha? eti sweetlady unaonaje akawa fotografa?
Kaizer huyu Asprin hata kwenye fotografa hafai, leo akae mlangoni kulinda wazamiaji afu Bishanga aende jikoni kwenye vyombo , akina Kongosho wanalalamika jikoni wamepungukiwa sana........ The secretary ameambiwa apeleke mapulizo ukumbini akina FirstLady1 wameshindwa kuendelea na mapambo!
 
Last edited by a moderator:
Hizi salamu zinafanya kengele igonge ku mkichwa.....enewei, naona ni za dhati....from Kaizer to sheme ake Roulette.....
Sasa....tukio ni wapi....
Nimesahau itifaki...
Happy birthday Roulette, nafurahi nawe siku ya leo....ulizaliwa kumodereti!

Wajameni! Wanachitchat na wanajamvi waandamizi na wale wa "siku hizi"

It is with great pleasure kuwa leo hii, our very interactive and friendlu colleague and mod wa hili jamvi, the one and only Roulette anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.

HAPPY BIRTHDAY shemeji yangu mpenzi.

We love you and wish that you live to celebrate
Your birhday many years to come!

Mwaaaah!!!!!!

Kwa hili najua bado sherehe ya Erickb52 haijesha vizuri ila
Nawaomba wanachitchat nanwanajamvi wote tujumuike kumpongeza Roulette.

Kwa kaulo hii namwomba sweetlady haraka zile kamati usizivunje ila uangalie kama utaweZa kufanya reshuffle kidogo.
Maana kuna kina PakaJimmy na Mtambuzi wamelalamika ila Bishanga ataendelea kuwa ulinzi liwalo na liwe, @ ummu kuluthum atabeba keki na cacico
My shem atabeba champagne.

We love u Roulette.

Angalizo, mtoto ako hosp hadi jioni, anaangaliwa na sweet AshaDii japo naye tumbo limekuwa kubwa!

Asprin hebu niangalozie somesing apo fasta nina kiu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom