Hahahaha!
Namuaminia mjukuu mtiifu(MJ1) ataifanya siku aya BABU kuwa a day to remember,
Lazima hiyo note iheshimiwe,nami naungana na wenzangu kuiheshimu,
Shem alinambia mpaka umpe ruhusa yako ndio ataweza nipitia hapa niongozane naye kwa anasema umeimarisha ulinzi shirikishi na police jamii mda wote,
Basi km umeshampa geti pass atanipitia soon, mwambie namsubiri.
Am sorry sisy wangu wa ukwe'eeeee!naona mwaka mpya umeamua kunichunia. Sawa tuuu...
Umesahau lengo lako ilikuwa kunirithisha mikoba ya hii fani?Mbona kama vile siku hizi umeanza nizidi kete? lol naona uzee usha niiingia sasa....
Am sorry sisy wangu wa ukwe'eeeee!
Unajua kbs usingetangulia kutoka tumbon kwa mama hata mie cjui ningepitia wapi,
Mimi iko penda sana ww atiii!
Kamwe siwezi kukuchunia,c unajua dingi kaizingua siku ile umeona mkwara wake nimeishia kurushiwa jero kwenye simu.
Golden Mpolee dear... si umesema utawa obedient eeeh? nakuhitaji hapa, kuna veggies za salad hazijaandaliwa... kama hujui ni muafaka wako wa kujifunza.... umenielewa dear?
Orait BIG SISY,Mbona ruhusa nilisha mpatia.... Nilisema wewe na Smiles na fb woote muende! Hivi wako wapi sasa - tell them waache utegezi mara moja! lol
Golden Mpolee dear... si umesema utawa obedient eeeh? nakuhitaji hapa, kuna veggies za salad hazijaandaliwa... kama hujui ni muafaka wako wa kujifunza.... umenielewa dear?
Umesahau lengo lako ilikuwa kunirithisha mikoba ya hii fani?
Usijali hata ukizeeka ujuzi hauzee Big sisy,
Nami nitakuwa nakutupia maujanja ya new veshen za mapishi ya dot com atiii!
Ndio maana nilikuachagua wewe kukurithisha... Uko makini kuliko wooote put together....lolz hapa Smiles, fb, Mwali na Husny wanisamehe!
Orait BIG SISY,
Smile si unajua yuko na ile sera yake ya kuwekeza kwa more than one mchumba ata sijui mida hii yuko pande ipi,
Ila FB yupo anamalizia assignment zake atatujoin badae.
aunt umeona eeh, wenzie wote tuko jikoni. Mwali tangu asubuhi anahangaika na sambusa halafu huyu anataka kutoka. Hajui mtoto wakike lake jiko.
Haahahahaha!afadhali umerespond sisy roho yangu imetulia. Lol. Mdingi dawa ni kumwibia tu maana amezidi ubahili. Sahv nishajua password, nikitaka vocha navuta tu simu yake.
aaaiii! ndo tumeanza kuchongeana hivo? mambo gan hayo?
teh teh teh... aunty nimekupenda, kwel we mkabaj! lolz.... nakuja kujifunza mm na mapish ni tom and jerry.
Asante sana Big SISY,Ndio maana nilikuachagua wewe kukurithisha... Uko makini kuliko wooote put together....lolz hapa Smiles, fb, Mwali na Husny wanisamehe!
Asante sana Big SISY,
Hope wadogo zako unatujua kila mtu ana fani yake,najua na wao utawakumbuka kulingana na fani zao,
Km nilivokueleza lengo langu ni kumfanya shemeji yako aenjoy mapishi yangu km Our Bg shem Kaizer Unovompagawisha na mahanjumati ya Ukwe'ee!
Ndio maana nilikuonesha nn napenda nawe ukaamua kunipa mikoba lol!