MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Aksaante Mwita naona wameamua kui-carry over hii birthday party.Wapwaz, wajukuuz, na shemejiz wa ODM,
Hii ni "extended" au "prolonged" birthday party??
hahaha shemeji anaonekana anajiamini, dats y anamwaga masifa hadharani lol.
hajaona wakumsh2a kabisa hapa nadhan, ni vizurii aisee me namuaminia huyu.
aah hii familia balaa, sijutii kamwee.
Kwa loving and caring, hata mimi nimewakubali.
This is the family every one needs to be part of it.
Won't be a bad idea if you give us an idea....
Aksaante Mwita naona wameamua kui-carry over hii birthday party.
NYIE MKUMBUKE ANATAKIWA KUENDELEA NA DRIP HUYO BABU MZALIWA.
hahaha shemeji anaonekana anajiamini, dats y anamwaga masifa hadharani lol.
hajaona wakumsh2a kabisa hapa nadhan, ni vizurii aisee me namuaminia huyu.
aah hii familia balaa, sijutii kamwee.
Golden Mpoleee I never judge dearest.... OPINIONATED? Yes, but ku judge hapana dear.... Karibu saana katika familia yetu, ila tu naomba utakua niece sio kid sis.... yaani Sweetie (Kaizer) kwako atakua ankal wako SIO Shemeji... Sawa Dear.... Karibu saana. Nafurahi kua na mrembo mzuri na mpole kama wewe ndani ya Familia yetu!
@WANAFAMILIA....
Hebu naomba mmkaribishe, Golden Mpoleee kama niece wangu... Babu naomba mkague huyu binti.....lol
Na wewe MJ1 Tunakumiss mpaka watuboa! Hebu punguza caring na Utiifu kidogo hata sie we need you sio babu yako pekee ndio umjali bana! Pole na uchovu wa sherehe....
Haswaaaa!! Kwanza umetoa zawadi Manyanza? hebu jivute vute utoe zawadi ingawa umechelewa....lol... au toa hio bonge la idea...
oooh this is awesome big sisy, hata mm nimependa hii level yake ya kujiamini aisee.That is one of the qualities I fell for him.... na mengine meeeengi, nikianza kumuongelea hapa.... kutakucha....lol :A S embarassed:
At the end of the day as much as no body is Perfect... He is Perfect kwangu, na inatosha kabisa! lol
Naahidi da Asha na mm nitampenda kila mtu ndani ya familia hii nafarijika kua mm ni wa jana tu na umenithamini! nitakua mtiifu kwel kwel.
karibi golden mpolee kwa hii hapy family, hutajuta aisee.Naahidi da Asha na mm nitampenda kila mtu ndani ya familia hii nafarijika kua mm ni wa jana tu na umenithamini! nitakua mtiifu kwel kwel.
hahahahahhah Auntie nawe huna dogo!! Mwite Canta au Golden Mpolee aje anisaidie kushika drip hapa nami nipumzike.
nilimpa ofa Asprini toka ile juzi usiku aje anywe japo viroba pale Mzalendo Pub, nilishamalizana nae
Na sisi hilo ndio tunataka... Huo ndio msingi wa amani na ndio maana unaona woote twaheshimiana, wakubwa kwa wadogo, wake kwa waume... Haijalishi kabisa! Hivo narudia karibu saana Niece.... Cousin wenzio ni Mwali na Husny, kuna akina dada kama MJ1, Smiles, Cantalisia, Obsesd, Feis buk, Michelle, First Lady woote hao ni wanafamilia. Kuna wifi zangu kama King'asti, SweetLady, na waume zao Paw na Cookie... Siku zitapozid kwenda utazidi kuwajua... Sawa dear?
karibi golden mpolee kwa hii hapy family, hutajuta aisee.
kila siku ni furahii day kwa hii familia.
karibuu.
BaMkubwa kumbe wewe ndo ulimwelekeza aharibu dozi?!
auntie hii taarifa mbaya Cookie tayari kaoa?
hahahahahhah Auntie nawe huna dogo!! Mwite Canta au Golden Mpolee aje anisaidie kushika drip hapa nami nipumzike.