<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Big sisy,
Ile wala haikua kesi,
Ilikuwa janja ya babu kwa ivuga ili Mwali abaki na babu,
Ngoja nampigia soon atakuja pande hizi utete nae ila usintaje lol!

Khaaa! lol... Kweli wewe wamjua babu yako, ndo ilikua mpango? Maskini Ivuga ilikula kwake....lol
 
Siku ile King alikua hajielewi kabisa! lol kaka Paw alifanya tu kumbeba akiwa na mihasira kibao. Itabidi tumkomalie yeye ndio amnulie babu simu...lol
Au kama vipi shemeji Paw ajitolee kumpa ile ya kwake afu yeye atanunua ingine...
 
Khaaa! lol... Kweli wewe wamjua babu yako, ndo ilikua mpango? Maskini Ivuga ilikula kwake....lol
Mie namjua vizuri babu,ndio maana nikatii maumizi yake,
Ivuka ilikula kwake kaishia kushika chumvi walioenda kununua tu lol!
 
pomoja na kurudia mara mbili mbili kusoma hii thread,bado sielewi.lol
 
pomoja na kurudia mara mbili mbili kusoma hii thread,bado sielewi.lol

wewe Kadoda acha ukorofie....lol... Yeye mhusika kaelewa every word! lol na wahusika wanafamilia woooote. hapo wewe ilitakiwa tu uelewe kua na BD ya ODM.... Haya toa pongezi zake basi....
 
Hivi alishika? mbona naambiwa hakushika? Hebu nipe habari kamili kabla sijachukia! lol
Hahahahah!
Punguza presha big sisy,
Ivuga aliishika juu ya kinailon cha ile packi tu hakuifungua,
Labda Mwali alivobaki na babu wakati wa ukaguzi ndio sina uhakika km ilinusurika au vp!!!
 
Hahahahah!
Punguza presha big sisy,
Ivuga aliishika juu ya kinailon cha ile packi tu hakuifungua,
Labda Mwali alivobaki na babu wakati wa ukaguzi ndio sina uhakika km ilinusurika au vp!!!

Nimecheka mpaka baaas! The imagination ya Ivuga kuishika juu ya nailon....lol.... Dah! Hay pressure imeshuka.
 
Nimecheka mpaka baaas! The imagination ya Ivuga kuishika juu ya nailon....lol.... Dah! Hay pressure imeshuka.
Haahahahahaha!
Ndio ivo kijana wa watu aliishia kushika tu juu ya nailon lol!
Hala hala usinintaje tu maana,sijajiaandaa kusutwa kwa mavuvuzela.
 
wewe Kadoda acha ukorofie....lol... Yeye mhusika kaelewa every word! lol na wahusika wanafamilia woooote. hapo wewe ilitakiwa tu uelewe kua na BD ya ODM.... Haya toa pongezi zake basi....
teh teh teh.btw hii ODM ndo kile chama cha kisiasa kule kenya!!!?
 
Haahahahahaha!
Ndio ivo kijana wa watu aliishia kushika tu juu ya nailon lol!
Hala hala usinintaje tu maana,sijajiaandaa kusutwa kwa mavuvuzela.

Hakuna kitu napenda kama wadogo zangu, wanangu na niece zangu wapendane na waishi kwa amani..... Siwezi wagombanisha, mimi najua mwenyewe jinsi ya kumingia Mwali... (tena kenyewe kambea na hupenda mfichia maovu ankal wake - the only kasoro thou) lol.... shem wako mmeonana leo?
 
Hahahahaha!
Big shem kuna mahali nimemuana but yuko tite kidogo na shuhuli za kiofisi,
But najua kwa vile anafahamu upo pande hizi atakuja akishamalizana na mambo yake ya kiofisi,
Usiwe na hofu ulinzi shirikishi na polisi jamii niko kazin kwa ajili yako sisy!
 
Mimi ndio maana sina wasi wasi ukiwepo wewe juu ya shemejio....lol... Hapa nina Imani kabisa, I hope ulimpa mahitaj yooote asubuhi na alipata breakfast ya maana.... anapenda saana kalmati, ulizianda ambavo hua naandaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…