yani ile siku unapigwa chini na binamu
nilikua nimempiga kibomu cha pesa ndefu
ningemkandia asingenigea,ila my wiii nakupenda
na lazima Mr Rocky akurudie tu!!
Binamu binamu binamu naona unataka ugomvi na my wife wangu Dena Amsi wewe
Hili debe unalipiga sio lenyewe kabisa
Happy Birthday my binamu Passion Lady
Uishi maisha yenye furaha na amani na Mwenyezi Mungu awe nawe katika kila ulifanyalo na amani yake ikawe juu yako
Happy birthday my binamu Passion Lady
Last edited by a moderator: