Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
​thanx much ndetichia!!Happy born day gal..
Last edited by a moderator:
​thanx much ndetichia!!Happy born day gal..
Happy birthday Passion Lady
hahahahaha akanana zawadi haikataliwi basi nikuletee ming'oko?
happy birthday Passion Lady ila kumbuka tuliozaliwa mwezi june huwa hatukati keki tunakata kiuno cc: Mamndenyi
hahahahaha hakika hiyo ni ishara kuwa Passion Lady ni akanana hakika ndio maana tumekuja double
happy birthday my cousin ndo niini kutokunikumbusha kuwa leo ndo siku yako spesheli? halafu wewe Ruttashobolwa kwanini mnanichanganya na mwenzio ruttashubanyuma? pls nijibu sasa
aunt nilimwambia
charminglady akujulishe
atakua alijisahau tu,karibu kwa party!!
aunt nilimwambia
charminglady akujulishe
atakua alijisahau tu,karibu kwa party!!
happy birthday Passion Lady ila kumbuka tuliozaliwa mwezi june huwa hatukati keki tunakata kiuno cc: Mamndenyi
uisijali aunt sasa sherehe wapi tena au ndo kwa shem Rutta?
thanx pacha wangu!!
god bless u my dear!!
Many happy returns of the day to you Passion Lady
nashanga!!mwambie akupe hela
ukaninunulie unga wa lishe,mi nataka uji!!
umeona eeeee!!tena
ngoja nimuite Lady doctor
akuje!!
hahahahaha hakika hiyo ni ishara kuwa Passion Lady ni akanana hakika ndio maana tumekuja double
nimekuja pacha, hebu niambia utakunywa maziwa ya ng'ombe au ya kopo? Nikuchemshie fasta.
thanx my dear Rich woman
umepotea sana kulikoni!