Happy birthday my akanana passion lady

Happy birthday my akanana passion lady


thanx honey
ila hiyo zawadi yako
badilisha hakiya nani khaaa!!mi staki!!
 
Dada yako hakawii kukujibu happy birthday too kama alivyokuwa akifanya wakati akiwa mdogo...
Passion Lady daddy akutakia kumbukumbu njema ya siku yako ya kuzaliwa...
Mumy na Dady twakupenda eenh!!!

hahahaaa!!thanx dady
siku hizi nimekua mwanao!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom