Happy birthday my akanana passion lady

Happy birthday my akanana passion lady

Happy birthday ila usitoroke bwenini na kwenda kulala gesti kisa penzi la (jamaa ana jina ndefu hata kwenye mention ni error)

thanx Excellent
halafu ujue nilimpendea
jina atiii!!kutoroka bwenini muhimu!!
 
Last edited by a moderator:
Dada yako hakawii kukujibu happy birthday too kama alivyokuwa akifanya wakati akiwa mdogo...
Passion Lady daddy akutakia kumbukumbu njema ya siku yako ya kuzaliwa...
Mumy na Dady twakupenda eenh!!!

Hahahaaaa..... dadie.. chekaje mie... BTW hows u today!!!
 
Last edited by a moderator:

yani ile siku unapigwa chini na binamu
nilikua nimempiga kibomu cha pesa ndefu
ningemkandia asingenigea,ila my wiii nakupenda
na lazima Mr Rocky akurudie tu!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
happy birthday my cousin ndo niini kutokunikumbusha kuwa leo ndo siku yako spesheli? halafu wewe Ruttashobolwa kwanini mnanichanganya na mwenzio ruttashubanyuma? pls nijibu sasa
My akanana Passion Lady happy birthday.

Mungu akuongezee miaka mia moja ya kuishi yenye baraka na furaha tele.
Nimekuandalia zawadi ya ndizi na kahawa.

happy birthday, happy birthday, happy birthday.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom