Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
aaaaah pacha
shemejio akila anaumwa tumbo!!
atiii????? Kama mambo yenyewe ndiyo hayo basi chakula chenu kuleni wenyewe
aaaaah pacha
shemejio akila anaumwa tumbo!!
atiii????? Kama mambo yenyewe ndiyo hayo basi chakula chenu kuleni wenyewe
Rich woman ulijificha wapi? nahisi niliku miss.
pamoja sana, HBD passion lady
hakuna card halafu
ni free party hiyo concious mind!!
asante kwa kujitolea usafiri!!
asante sana Mrembo by Nature!!Happy birthday Passion Lady, maisha mema na yenye furaha.......
​thanx myn!!pamoja sana, HBD passion lady
asante sana Mrembo by Nature!!
I LOVE YOU TOO Arushaone
sitaki kuamini kama toka juzi nakuita ila umenipandishia vioo kama vile hunifahamu... Poa bwana mi ndo nmerudi tambua uwepo wangu....
Karibu my dia, siku hizi sikuoni kabisa...zamani hata ulikuwa unanipitia wakati unaenda kukaa pale gogoni klaribu na kwa mzabzab, ila siku hizi wala unapita kimya kimya
nilikua busy kidogo
naw nimerudi usijali
vikao vya gogoni kama kawa!!
We mbayaaaaaaaaaaaaaa (sauti ya joti)
hahahaaaaa!!umeanza vituko
subiri kesho gogoni bana
huku watu wengi!!
haaaa!!siamini pua zangu!!
pacha ni wewe?!!
Madame B na Lady doctor
mje mnishike huku,nisije nikaua hakiyanani!!