Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Last edited by a moderator:
nitakula honey
ila unibebe toka huko
mi sijui kuitengeneza!!
najua kula tu na kunywa thupu yake!!
zipo mbili ujue, we jishau tu hapo
Slave...... I miss my days!!!!!!
Kweli nilijisahau sis... so soryyyyyyyyyyyy!aunt nilimwambia charminglady akujulisheatakua alijisahau tu,karibu kwa party!!
hahahahaaaaaaaaaaa anakuuuzia lubba huyo e?
Huo sasa uongo....
Dia wangu havaagi boxer kabisa aaaggggrrr ona unanifanya hadi nitoe siri za ndani
hiyo itakuwa ya Arushaone si imeandikwa TMK WANAUME FAMILY???
usijali pacha, mwambie shem wangu aipitishe kwangu nikutengenezee.
​wo nt my dear sisy!!Kweli nilijisahau sis... so soryyyyyyyyyyyy!
thubuuutuuuuuuu!!!
nishampiga marufuku
kufika huko kwako ujue maana
pacha some tym sikusomi!!
pacha nisome tu mdogo wako nimekuwa sasa na mchumba ninae nitamheshimu shemeji mpaka basi
​hahahaaa!!kuumbeeee!!Yap naipata si ile XXL?
hiyo ya Baba V
cc to Evelyn SaltSlave...... I miss my days!!!!!!
hivi kumbe na wewe uliwahi kuiona eeeeeee? embu nikumbushe ilikuwa wapi vileeeeeeee??????
ana ile nyingine pia
imeandikwa[ bata batani ]ushaionaga?
sema ukweli japo unauma wewe ntoto...
kumbe ndivyo anavyokudanganya
mi thitemi,afu mi nilimmisi kama shem langu
tu bana!!
huyo pachayo sijui anasumaku ............?
nimemshtukia hahahaaa!!
pacha wangu noumer!!
copy to chumvi wangu Evelyn Saltyesterday, ila sio mimi niliyekumiss nilisema kwa niaba ya my pacha Passion Lady