wewe!!nani awe mlupo miakama vipi mgeuze mlupo. mia
i miss u!!
​hata mimi i miss u lol!!mwambie huyo
since when ?
acha ukuda basii............. Nakumaindi ujue,,,,,,,,,, ngoja uingie kwenye 18 zangu uone nitakavyokufanya!!!!!!!!!!
Na ushukuru Mungu imekatika, yaani ingetoka kama ilivyo sijui ambavyo pangechimbika, hadi uje unieleweshe kuwa hukumaanisha vile ingekuwa tayari Muhimbili kumejaa majeruhiHaaa sa mbona imekatika jamani mi nimeandika tamko, au nlikosea nikaandika tak. nini!!!!!!!
pacha wangu nae kazidi
mzibe kikojoleo coz kashanichosha!!
f
hivi umenionea Slave wapi?
Na ushukuru Mungu imekatika, yaani ingetoka kama ilivyo sijui ambavyo pangechimbika, hadi uje unieleweshe kuwa hukumaanisha vile ingekuwa tayari Muhimbili kumejaa majeruhi
hahahahahaaaaa. miawewe!!nani awe mlupo mia
Binamu binamu binamu naona unataka ugomvi na my wife wangu Dena Amsi wewe
Hili debe unalipiga sio lenyewe kabisa
Happy Birthday my binamu Passion Lady
Uishi maisha yenye furaha na amani na Mwenyezi Mungu awe nawe katika kila ulifanyalo na amani yake ikawe juu yako
Happy birthday my binamu Passion Lady
ndo kifuatacho....
make hata mi kishanichosha!!!!
Slave huyu huyu!!!!hawezi, sijapata best....
ila ungempa matembele angeleta.
Hii ndo naiona leo Passion Lady hongera kwa kuzaliwa halafu acha kuingilia ingilia ndoa za watu utasutwa mchana kweupe
asante sana wifi binamu
muonee huruma Mamndenyi
hana pa kupotezea mawazo
kama vipi mgeuze mlupo. mia
​hata mimi i miss u lol!!