Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Last edited by a moderator:
Ndo kwanza narudia tena kwa herufi kubwa, ninavyopenda KUFANYWA na watoto wa kike,,,,... we acha tu, tena fanya fasta
Nipo nae, unataka nini?????????
ndo kifuatacho....
make hata mi kishanichosha!!!!
pacha unanipiga madongo kumbe hata wewe umemmiss! Ngoja Evelyn Salt aje
c mawazo ya kuachwa kila siku
mpaka unafkia kuvizia waume za watu
heri yangu Ruttashobolwa bado yanki lol!!
yesterday, ila sio mimi niliyekumiss nilisema kwa niaba ya my pacha Passion Lady
nilitaka kukujibu lakini siwezi kuharibu mahusiano yetu
kwa sasa sina shida ya mwanaume wa hapa chit chat
naendelea na mpenzi wangu mmoja wa ukweli kweli and thats only.
akanana Passion Lady utakula pweza?
haya mwaya
msalimie mweeeeh!!
akanana Passion Lady utakula pweza?
akanana Passion Lady utakula pweza?
Hii ndo naiona leo Passion Lady hongera kwa kuzaliwa halafu acha kuingilia ingilia ndoa za watu utasutwa mchana kweupe
akha usinipakazie
hukohuko na mfugaji wako
wa chamaki nchanga lol!!
we fanya utakacho
mi wala simtetei!!
hahahaaa!!hajaleta?
nyumba ndogo kakupiku shost!!
alisahau boxer yake nataka nimpe
Slave hanaga nyumba ndogo hilo unamsingizia kwakweli....
kama huyo nyumba ndogo yupo ajitokeze!!!!!!