Happy Birthday Maxence Melo🎉🥳

Happy Birthday Maxence Melo🎉🥳

Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica 🎉🥳
Kwa niaba ya wana jamvii

Tuna kutakia afya njema, furaha, mafanikio na maisha yenye baraka tele
Thank you for your great contribution and for keeping the JF community active and connected every day
Mungu akuongezee hekima, strength na success zaidi kwenye kazi na maisha yako binafsi

Enjoy your special day mkuu 🎂✨

Na mwisho kabisa endelea kuficha funguo za JF vizuri 😂
Mboga mboga wasije kufanya unyakuo kwa baadhi ya watu humu jukwaani 😄

View attachment 3585916
Happy Bornday Maxence Melo tunaomba uturudushie jukwaa la wakubwa!
20260509_061433.jpg
 
Heri ya Siku ya Kuzaliwa Maxence Melo: Shujaa wa Uhuru wa Habari na Mageuzi ya Kidijitali.

Leo tunamsherehekea mtu ambaye jina lake limekuwa alama ya ustahimilivu, ubunifu, na utetezi wa haki za raia kutoa maoni yao bila woga.

Maxence Melo, unapoadhimisha siku hii ya kipekee, tunatazama nyuma na kuona jinsi ulivyoweza kubadilisha sura ya upatikanaji wa habari nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla kupitia JamiiForums.

Haikuwa safari rahisi; umepitia changamoto nyingi, ikiwemo misukosuko ya kisheria, lakini msimamo wako umebakia kuwa imara.

Wewe si mwasisi wa jukwaa la habari tu, bali ni mwalimu uliyetufundisha umuhimu wa uwazi, uwajibikaji, na ujasiri.

Katika siku yako hii ya kuzaliwa, tunakuombea Mungu akujalie afya tele, amani ya moyo, na hekima zaidi. Uendelee kuwa nuru kwa vijana wengi wanaochipukia katika ulimwengu wa teknolojia na uanaharakati wa kiraia. Heri ya siku ya kuzaliwa, Chief Maxence Melo!
6ed730ab-dcac-4ce4-97e9-c7e49cd58bd0.jpeg
 
Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica 🎉🥳
Kwa niaba ya wana jamvii

Tuna kutakia afya njema, furaha, mafanikio na maisha yenye baraka tele
Thank you for your great contribution and for keeping the JF community active and connected every day
Mungu akuongezee hekima, strength na success zaidi kwenye kazi na maisha yako binafsi

Enjoy your special day mkuu 🎂✨

Na mwisho kabisa endelea kuficha funguo za JF vizuri 😂
Mboga mboga wasije kufanya unyakuo kwa baadhi ya watu humu jukwaani 😄

View attachment 3585916
Jamaa atakuwa anatafuta ensenene na ebitoke kwa nguvu nyingi ajipongeze kwa kuzeeka
cc😡maxencemelo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom