Hapana mkuu nimekupa authority kusanya zote utaziwakilisha ofcn
have a good day Mr Melo !Happy Birthday Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica Kwa niaba ya wana jamvii
Tuna kutakia afya njema, furaha, mafanikio na maisha yenye baraka tele [/ATTACH]
🤣hii kichwa yako hii🙌🏾Ndio nani huyo huko Daslam?
Imekuwaje umenimention halafu haujanimention.Ndio nani huyo huko Daslam?
Hata sielewi.Imekuwaje umenimention halafu haujanimention.
😅😅
Sasa unajua kuna target na percent nikate ngapiHapana mkuu nimekupa authority kusanya zote utaziwakilisha ofcn
Usikate ata ndururu🤣 brotherSasa unajua kuna target na percent nikate ngapi
Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako 💪🏿 Hii inafaa kurudishwaYupo online, halali robot yule. Enzi zile hata ukiripoti uzi/bandiko saa tisa usiku, anafanyia kazi sekunde tuu. Enzi za "Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako". JF imetoka mbali Mshana Jr
Ficha upumbavu wako, onyesha hekma yako 💪🏿 Hii inafaa kurudishwa
Usinilasimishe kupiga makofi.Sana aisee anastahili pongezi
Makofi kwake👏
EwaaaMkuu ngumi juu kama hivi ✊️
Nkajua ni mm tu , hii theme inapoteza therapy ya hili jukwaaHappy birthday kwake... Afanye kuirudisha dark blue theme sasa.
Naona wanalifanyia kazi.Nkajua ni mm tu , hii theme inapoteza therapy ya hili jukwaa