Mkulu Max hongera sana kwa siku yako ya kuzaliwa tupo pamoja,
Katika kusherekea siku hii, leo basi walau BAN zipumzishwe kabisa hadi kesho....
Many Happy returns!:israel:
mmhhh
vipi Kaizer
wajihami haraka hivyo mmhh
hahahah lol wala hata usijali
Boss wetu kachukua holiday wiki.