Happy Birthday Maxence Melo LIVE LONGER!

Status
Not open for further replies.
Hongera saana Max kwa Bwn Mungu kukufikisha hapo ulipo. Tena nashukuru maana nilikuwa mbali na mtandao kwa muda hivi, ahsante kwa kurudisha kitufe cha Thanks. Ubarikiwe saana na familia yako ibarikiwe!!!!!!!!!!
 
:music: Happy birthday to U
Happy Birthday Dear Max
Happy Birthday x 2, happy birthday to uuuu!!:clap2:
 
Happy Birthday Max,
We thank God to let you live up to this day because
he has a reasons, and you'll keep living until the mission is complete!.
 
Heshima mbele wakuu,

Napenda tuungane kwa pamoja kumpongeza mkuu Maxence kwa kufikisha siku hii

na kuongeza umri mwingine katika maisha yake,tumuombee heri, afya, njema, na

maisha marefu. Mungu ampe nguvu za kusonga mbele zaidi.


Heri ya kuzaliwa mkuu Maxence...........

hongera mkuu Maxence
 
Happy birthday mkuu....Mungu akuongezee uhai, upate kitukuu chenye umri kama wako ndo afikirie kukuhamishia mbinguni.

Naamini kwa wish hii sitatembezewa kichapo cha BAN asilani.
hapo kwenye red,Rushwaaaaaaaaaaaa!!!!!
 
Miaka huja na kupita, na tunafanya mambo mengi sana, mabaya na mazuri pia, ila Mungu na akutunze wewe na uzao wako na kuimbuka tarehe 9 may kwamba alitoa mtoto wa faida kwa Jamii ya watanzania na wengineo pia baada ya wewe kuzaliwa nafurahia JF kwa maeneo mengi sana HAPPY BIRTHDAY BUDDY!

LIVE LONGER NA UFANIKIWE KAMA ROHO YAKO IFANIKIWAVYO

Happy birthday Kiongozi wangu,
Mungu azidi kukumwagia baraka katika maisha yako
Uzee nao ndo unagonga hivyo!!!!!!!!!
 
Hongera sana Great Thinker,yours was a great idea kuanzisha hii kitu jf aisee,we huwezi jua kiasi gani inatuliwaza,kutuelimisha,kutupa habari,kutuunganisha(wengine wameopoa na kuopolewa humu) na off course wakati mwingine kutuhuzunisha mmoja wetu yanapomfika,Big up sana Kiongozi.
 
imeandikwa " miaka ya kuishi kwetu ni miaka 70 au pengine 80" Naam Bwana na akupe miaka ya kula na kushiba ili umtumikie yeye!!!

hAppY biRthDay!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom