Happy Birthday Maxence Melo LIVE LONGER!

Status
Not open for further replies.

Imnyagi

Member
May 8, 2011
95
16
Miaka huja na kupita, na tunafanya mambo mengi sana, mabaya na mazuri pia, ila Mungu na akutunze wewe na uzao wako na kuimbuka tarehe 9 may kwamba alitoa mtoto wa faida kwa Jamii ya watanzania na wengineo pia baada ya wewe kuzaliwa nafurahia JF kwa maeneo mengi sana HAPPY BIRTHDAY BUDDY!

LIVE LONGER NA UFANIKIWE KAMA ROHO YAKO IFANIKIWAVYO
 
Imnyagi kwanza karibu sana
ukumbini naona ndo umejiunga leo
na umeingia na Thread babu kubwa ya
boss wetu .. Asante sana ..




Mkuu Maxence Naomba sana leo uchukue day off..

 
Imnyagi kwanza karibu sana
ukumbini naona ndo umejiunga leo
na umeingia na Thread babu kubwa ya
boss wetu .. Asante sana ..




Mkuu Maxence Naomba sana leo uchukue day off..


Nashukuru sana afrodanzi endelea kumimina mazawadi kama hayo na wengine walete maua basi jamani na vichezeo vya mtoto
 
A simple celebration, a gathering of friends; here is wishing you great happiness, a joy that never ends. But remember A birthday is just the first day of another 365-day journey around the sun. Enjoy the trip.
 
ml4k.jpg



Happy bday boss

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom