Happy Birthday Maxence Melo LIVE LONGER!

Status
Not open for further replies.
With this new year of your journey, shall come more challenges, opportunities and greater success. May God bless you.

Happy Birthday.
 
Max... Happy Birthday mkuu

Nakutakia afya njema na maisha ya kutosha kabisa ili siku moja uone uzao wa JF ukiwa umekamata nchi hii
 
As a one of the JF member i believe I am obliged to wish Maxence Melo a Belated HAPPY BIRTHDAY... Am not yet familliar with you (or I should say your name) but I believe you wont mind.... Nakuombea mafanikio katika Maisha yako
 
Kiongozi, kuna mtu unataka kumvurumishia makonde nini leo???
Maana najua jukwaa la si-hasa ndio linaanzishaga ndundi mara kibao, na Max kaniambia ndio linaongoza kwa kulabwa BAN

hahaha kiongozi hapa ngumi zetu ni zile za kunyang'ang'ana watoto wa kike, za chap chap kisha mnarudi barazani, ndo maana hapa tupo peace tu,

ila kwa jukwaa zima manake leo semina elekezi (again) imeanza kuna watu watakuwa wamemwaga povu sana na hivi MS karudi?
 
As a one of the JF member i believe I am obliged to wish Maxence Melo a Belated HAPPY BIRTHDAY... Am not yet familliar with you (or I should say your name) but I believe you wont mind.... Nakuombea mafanikio katika Maisha yako

hahahah, Asha, its enough that way....huyu sio wa kuwa familiar naye ki viiile.....got me?
 
Wakuu,

Kifupi nashukuru sana, nimefarijika kwa salaam zenu nyote na wishes.

Kuna wakuu sijawaona JF kitambo (mfano Mzee Mtei, Richard n.k) lkn wamepita hapa hii leo. Nawashukuru kwa kujali. Aidha, nimpongeze Mo Dewji (JF Member and CCM MP) ambaye kwa pamoja tunakumbuka siku zetu za kuzaliwa.

Nikiri kuwa, kadiri siku zinavyosogea ndivyo ninavyojifunza, naamini hata busara inachukua mkondo wake. "Life is a teacher, the mre we live, the more we learn!". Hata hivyo, the much we know, the less we talk.

Niwashukuru JF members wote kwa namna mnavyoifanya JF iendelee kujijengea heshima, wale wanaoharibu waelekezeni kwa ukarimu na wakionekana kutobadilika basi toa report kwa mods ili wawasaidie badala ya kujibizana nao. JF si Maxence au Mike, hawa ni waanzilishi tu, wenye JF ni nyinyi, mods ni watendaji wenu.

Aidha, nichukue fursa hii kuwaomba radhi wale ambao hata hawanijui wala hawajaona kwa muda mrefu nikijichanganya kwenye mijadla jamvini, niwafahamishe kuwa nipo hapa kila siku lakini kiutendaji zaidi, wengine tumewasiliana via Live Support chat na wengine mnaweza kupitia posts zangu ( Search Results - JamiiForums | The Home of Great Thinkers au Search Results - JamiiForums | The Home of Great Thinkers) na kujua nimewahi kuongelea nini na (labda) napendelea nini.

Mwisho, mods wote wa JF, nawashukuru kwa namna mnavyowahudumia wana JF wakiongozwa na Farida na the three Invisible(s), hamuwezi kumfurahisha kila mmoja na hamwezi kuwa wakamilifu kwa 100%. Uwepo wenu JF unawafanya wengi waione ilivyo bila kujua magumu mnayopitia, msikate tamaa. Tukimaliza kufanya uzinduzi rasmi wa Fikra Pevu | Kisima cha busara! naamini nitakuwa jukwaani na kushiriki kikamilifu discussions.

Shukrani sana wakuu
 
Pamoja kama arsenal na wenger!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom