kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
Hiyo ligi upo kitambo sana, nilikuwa nakuona labda kama ulikuwa hujajisajili rasmiOkay 🙂 rasmi najiondoa kwenye ligi nimekuwa relegated!
Naenda ligi ya kataa ndoa!
Hiyo ligi upo kitambo sana, nilikuwa nakuona labda kama ulikuwa hujajisajili rasmiOkay 🙂 rasmi najiondoa kwenye ligi nimekuwa relegated!
Naenda ligi ya kataa ndoa!
Naunga mkono hojaHappy Birthday Mahondaw
Team Wananchi tunakutakia maisha mareeeefuu yenye Baraka nyingi
Najua nilitaka nikuwowe niihame ujue nilikabidhi uhasibu wa chama nikijua utakubali kuwa mchumba!Hiyo ligi upo kitambo sana, nilikuwa nakuona labda kama ulikuwa hujajisajili rasmi
Nyie vijana bado mpo pamoja ?View attachment 3349620
Today is all about you, Mahondaw, the light of my life, the one who makes my world brighter just by being in it...
Every moment with you feels like a beautiful gift, and today, I celebrate the amazing person you are...
Your heart, your smile, your strength, and your love inspire me more than words can say...
I’m so grateful to walk this journey with you, and we are making beautiful memories together...
May your birthday be as special, warm, and unforgettable as you are to me...
May all your dreams come true.
I love you endlessly—Happy Birthday, my heart!
💕💕💕![]()
Humu jukwaani siyo kwa kutafuta mchumba bwanaNajua nilitaka nikuwowe niihame ujue nilikabidhi uhasibu wa chama nikijua utakubali kuwa mchumba!
😀
Akufate jukwaa mahususi sio!?Humu jukwaani siyo kwa kutafuta mchumba bwana
Jukwaa gani tena hilo mkuu?Akufate jukwaa mahususi sio!?
KUMBE OMONTO NO OMONTO WAEEHMambo yenu tuwaachie wenyewe
Anyway happy birthday shemeji Mahondaw /Antonnia
Weka picha na namba yake kwa faida ya members.
Utamu wa mbususu unazidi kupungua !
Mapenzi ,mahusiani na urafiki.Jukwaa gani tena hilo mkuu?
Humu mimi naona kwa kujiburudisha tuMapenzi ,mahusiani na urafiki.
Teh!teh!teh!
HahahahaHumu mimi naona kwa kujiburudisha tu
hahahaha mkuu kama kakuambukiza kwashakoo namim nataka niambukizwe pia..Mkuu jichunge sana juu ya huyu mrembo, hii ni tahadhali ya kiungwana tu.
unampa nin Smart911 mpaka hawaz kuchomoka kwako pia katusahau wadogo zake ada ya shule hukuSanto sana... Since 2016 hiii sio padogoo!!
kwani mwandiko wangu unakuumiza macho..Hebu soma tena ulichoandika