kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,306
- 7,694
Sijajua kama umo humu,lakini huu ni ujumbe wako kwa siku hii ya leo,nakutumia ujumbe huu nahisi upo humu Jf maana una akili sana,kila mwaka nimekuwa nikikutumia keki ya siku hii ya leo popote nilipo na popote ulipo japo tuliachana muda mrefu sana,lakini zoezi hili nimekuwa nikilifanya tu kwa jinsi tulivyopendana!sina jinsi ya kukupata umebadilisha namba ya simu,sijui ulipo,nimeshindwa kukutumia zawadi yako mwaka huu!here we go" Hand in hand we may not be, eye to eye we may never see again, hugs and kisses we may never be able to share, but l confess for you l still care,l know that things got very sour towards the end, but l still remember the good moments we had, enjoy your big day, happy birthday ex girlfriend,Upendo E.J!